Non Stop Mixx hii nimeipa jina la KACHUMBARI MIXX sababu ya mchanganyiko wa ngoma kali kutoka sehemu mbalimbali za dunia hasa RNB,HIPHOP,BONGO FLEVA,DANCEHALL na KENYAN. Wewe kama mdau wa muziki hapa nchini kupitia BLOG, WEBSITE, INSTAGRAM, TWITTER na FACEBOOK naomba unisaidie kushare link na ARTWORK(PICHA) kwenye mtandao wako. Asante sana na Mungu akubariki sana. Download na isikilize hapa!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment