0

 Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri.
 “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema.


ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE  HII JIUNGE NASI  KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ

Post a Comment

 
Top