0
Inawezekana ikawa ndiyo singo ya kwanza kushirikishwa mkali Ruby msichana ambaye kipaji chake kilionekana kwenye mashindano ya Serengeti Super Nyota Diva mwaka 2014 na baada kusikika na singo yake mwenyewe inayoitwa Na Yule. 
Single hii ilikuwa itoke wiki kadhaa zilizopita lakini kutoka na wizi ambao ulifanyika nyumbani kwao Abdul Kiba ulisababisha project hii isimame na kwa sasa ipo tayari na itakuwa redioni kwako kuanzia wiki ijayo.

Post a Comment

 
Top