0
Kila rapper anakituko chake lakini rapper The Game ameamua kufanya kitu cha tofauti, Siku ya jana aliamua kushare picha kwenye mtandao wa Instagram akirecord huku akiwa Toilet anajisadia.

Kwenye Post hiyo The game aliandika “I ain’t been home in 30 days & I live 20 minutes down the freeway…… I don’t have a second to waste…. & I promise #TheDocumentary2 is literally SHITTIN’ on niggas !!!!!!!!!!!!!!!!! ”

Post a Comment

 
Top