The r&b singer ama bad girl riri kama anavyo jiita ameamua kuingia rasmi katika kampeni za kutangaza perfume yake.
Bado hajatagaza rasmi ni lini ataiingiza sokoni lakini imeonekan akuwa tayari kwa manukato hayo kuingia muda wowote kinachongojewa ni kutangazwa rasmi kwa siku ya kuingia sokoni.
RIHANNA PIA NI MMOJA YA WASANII WANA WANIA TUZO ZA MTV VMA
VIDEO WITH A SOCIAL MESSAGE
Jennifer Hudson – “I Still Love You”
Colbie Caillat – “Try”
Big Sean ft. Kanye West and John Legend – “One Man Can Change the World”
Rihanna – “American Oxygen”
Wale – “The White Shoes”
Post a Comment