0

Ni kweli Dogo Janja kauponda uongozi wake wa Tiptop? Maamuzi ya Madee ni yapi?

Kwenye 255 ya Clouds fm leo Feb 19 2016, ni pamoja na hii ya Dodo Janja kudaiwa kulalamika ananyanyaswa na kunyimwa nafasi na Uongozi wake, hii ni baada ya kusambaa kwa sauti inayodaiwa kuwa ni ya Dogo Janja akimtongoza mwanamke na baadae kuanza kufunguka mambo kuhusu Management yake ya Tiptop.

leo Perfect amezungumzana Madee kuhusu tuhuma hizo na maamuzi gani wameyafikia baada ya kuenea kwa taarifa hizo, Huyu hapa kwenye hii sauti hapa chini 
BONYEZA PLAY HAPO CHINI KUSDIKILIZA

Post a Comment

 
Top