0
MAJINA YA WANYAMA YANALETA SHIDA 
Ile vita ya wasanii kugombania majina ya wanyama imezidi kumake headline kila kukicha na kuzua gumzo kwenye mitandao ya kijamii  huku  wakiwaacha mashabiki na maswali kichwani ya nani mmiliki halali wa majina hayo?

Vita hiyo ya majina ya wanyama ilianzia kwa msanii Mr Blue akimtuhumu Diamond kutumia jina la Simba japo hakumtaja wazi wazi ila post yake ilijieleza, hivi karibuni imeibuka vita nyingine kati ya msanii Dudubaya ambaye anamtuhumu msanii Shetta kutumia jina lake la Mamba na kumtaka aache mara moja kabla hajamfanyia kitu kibaya,

siku za karibuni sheta amekuwa akionekana kutumia jina la MAMBA kwenye post zake 

Jimmcarter.com imefanikiwa kupata Video ya  Dudubaya akimtukana  msanii Shetta kutumia jina lake la Mamba 
.  Bonyeza Play Kutazama Hapo Chini

Post a Comment

 
Top