Mchezaji wa zamani wa Argentina aliyeacha historia kubwa katika ulimwengu wa soka, Diego Maradona amempiga kibao mwandishi wa habari mbele ya umati huku kamera zikichukua tukio zima.
Imeelezwa
kuwa Maradona alichukizwa na kitendo cha mwandishi huyo kumtolea maneno machafu
mkewe wa zamani.
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ INSTAGRAM JIMCARTERTZ

Post a Comment