Ex-boyfriend wa Nick minaj amewaambia marafiki zake wakaribu anakuwa na hisia za kujiua baada yakuachana na nick minaji ambaye katika mahusiano yao walidumu kwa miaka 12 ya mahusiano.
Amekuwa mi mtu waku spend siku nzima kwa kuvuta bangi usiku na mchana nakuongelea wazi kuhu kujiua.
Safaree aliwaambia marafiki zake kuwa hatopata muda waku wasiliana na nick minja kwasababu atakuwa na Meek Mill.
Amesema kuwa nimateso kwake,Kwasababu anaamini Meek Mill ndio kavunja mahusiano yake na Nick Minaji kwa madai ya uongo kuwa alimsaliti., Mrafiki wa Safaree wanasema Wanahofia Vitisho vikubwa vyakujiua Kwani hivyo si vitisho vya kupuuzia
Nick Minaji pia alipoulizwa kusu ex boyfriend wake Safaree na POWER 105.1 alishindwa kumalizia maongezi nakusema kuwani mtu ambaye alikuwa amesha mzowea tangu hajapata umaarufu
HAYA HAPA NDIO MAHOJIANO YA NICK MINAJ
HAYA HAPA NDIO MAHOJIANO YA NICK MINAJ


Post a Comment