Huenda nyimbo ya Ben Pol sophia ikaweka rekodi kwa nyimbo iliyorudiwa mara nyingi na wasanii wenzake baada ya kurudiwa na Peter Msechu Ikifuatiwa na Quick Rockar aliye ifanya mahadhi ya Reggae ,Ney Lee nae akaamua kurudia tena.
Time hii ni mwana dada kutoka Arusha Ayler ameweza kurudia karibu msikilize kile alichokifanya hapa chini Enjoy.

Post a Comment