0
Empire Music wameteangaza tarehe ya kutoka alabamu ya “Withdrawal”  wameonyesha cover art na ngoma zinazopatikana kwenye albamu hiyo ya mkali wa tongue twista “Minute Murder” rapper Twista na Do Or Die
Rapa huyo anayewakilisha Chicago Twista na Do Or Die wanampango wakuiingiza albamu yao sokoni inayoitwa “Withdrawal” mwezi Mei 19.
Cover Art

“Najua wote mlikuwa mkiisubiri, fresh washkaji Do Or Die na Twista wameingia studio, wametengeneza albamu moja kali sana inaitwa “Withdrawal’ kwa sababu tusingeweza kuvumilia kuacha kwenda studio pamoja, hakikisheni hamuikosi inatoka Mei 19” Alisema Twista.

Twista alifunguka hayo kupitia video aliyoiweka youtube.
Twista na Do Or Die wameshafanya baadhia ya ngoma, zilijulikana mwaka 1996 kama “po Pimp” ambayo ilifika namba 22 kwenye chart za Billboard Hot 100.

Check chini hiyo ndiyo Cover Art na video on youtube akitangaza tarehe ya kutoka albamu hiyo ya "Withdrawal"...

Post a Comment

 
Top