Leo kwenye U Heard ya Clouds Fm, Soudy Brown amefanya mahojiano na Msanii wa Bongo Movie Batuli kuhusu tuhuma za kufanyiwa dhuluma na msanii mwenzake Ray kwenye moja ya filamu aliyoshirikishwa.
Batuli anasema amekuwa akizungushwa kupewa malipo yake bila sababu ya msingi, licha ya kuwa yeye ndiye mshiriki Mkuu wa filamu lakini hadi mzigo unaingia sokoni hajapata malipo yake.
Bofya Play Hapo Chini Kusikiliza
Bofya Play Hapo Chini Kusikiliza

Post a Comment