0

Sio ajabu kukutana na reaction  ambayo sio mbaya kutoka kwa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown pale anaposikia  ukichezwa mbele yake wimbo wowote wa mpenzi wake wa zamani Rihann sababu alishasema ana-love na Rihanna na anahemushimu.

hii video ilinaswa akiwa kwenye club moja ya usiku.
A video posted by The Shade Room (@theshaderoom) on

Post a Comment

 
Top