Wiz Kid amehakikishia mashabiki zake kuwa kuna hii kolabo na Swizz Beatz baada ya waili hao kupost kupost picha katika kurasa zao za instagram wakiwa pamoja nakuandika maneno yanayoashiria kuwa kunakitu kinakuja kutoka kwa wawili hao
Siku Kadhaa Wizkid aliungana na Chris Brown kufanya show ya pamoja kwenye ukumbi wa Ziggo Dome huko Amsterdam ambapo wawili hao waliimba kwa mara ya kwanza wimbo wao mpya uitwao ‘African Bad Girl’.
Kwa sasa nyota ya Wizkid imeonekana kung’ara zaidi baada ya wimbo alioshirikishwa na Drake uitwao ‘One Dance’ kuvunja rekodi kwenye Billbord Top 100.
Post Ya Wiz Kid Yeye Ilikuwa inasema hivi
Swizz Beatz yeye alipost nakuanzika haya


Post a Comment