0
Leo ni siku ya tatu kuanzia Harmonize na mpenzi wake Wolper waanze kuposti picha wakiwa  mtwara kwa wazazi wa harmonize.
I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu... Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe... Mjipikilishe.. Akushauri 
Hapa nimepata rafiki kwa kweli...
I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu

kupitia ukurasa wake wa IG  Wolper amepost picha akiwa anafurahia kuwa karibu na mama mkwe na kushare nae mambo tofauti katika maisha ya mtwara, nimekuwekea hizi picha pamoja na maneno yaliyoambatana na picha hizo kutoka mtwara life.
Nalipenda jiko nanaliweza #ukweni👌

Mtu na wifi yake my Amina

Jiko bila umbea aliivishi wifi & I Mood

Mkwe kwa mbali👌

Bibi kanifanya nacheka kwanzia mwanzo wa pishi paka mwisho jamani Nina Amani moyoni syo kwa mahaba haya yenye mizizi sugu ukizingatia huyu ndo yule Bibi aliyemfundisha Raj mapenzi nakumsisitizia mwanamke apigwi nangumi ila niupande wakanga basi mwezenu taabani syo makosa yangu nimakosa ya unyago wakimakonde🙌

Post a Comment

 
Top