Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Kanye West anatarajia kuachia album ya kuongea kwa maneno itakayokuwa na muda saa tatu. Limedai kuwa katika album hiyo, Kanye ataongelea mada mbalimbali ikiwa ni pamoja na mke wake mtarajiwa Kim Kardashian na mtoto wao North West.

Haijulikani bado jina la album hiyo. Katika hatua nyingine vyanzo vimesema Kanye amepanga kurekodi hotuba ya saa 24 ambayo itawekwa mtandaoni ili mashabiki waweze kuidownload.
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM
Post a Comment