Amber
Rose ameomba talaka kwa mume wake huyo aliyedumu naye kwa mwaka mmoja.
Amber
ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Kanye, siku za hivi karibuni amekuwa Rose anataka
kuchukua udhibiti wa mtoto wao Sebastian, mwenye umri wa mwaka mmoja, kwa
mujibu wa TMZ.
Atamruhusu Wiz kumtembelea mwanae. TMZ imedai imeziona nyaraka
za talaka ambazo zinaonesha kuwa wapenzi hao waliachana Jumatatu hii kwa kile
kilichodaiwa tofauti zisizosuluhishika.
JOIN US

Post a Comment