Imeelezwa
kuwa Kim Kardashian na Kanye West wamebadili eneo watakalofungia ndoa yao
kutoka Paris Ufaransa na sasa watafunga ndoa hiyo Florence, Italia May 24.
Chanzo cha
karibu na wanandoa hao watarajiwa kimeiambia ET kuwa wawili hao wamepanga kula
chakula cha usiku na wageni huko Paris, Ufaransa kabla ya ndoa na baadae
watawasafirisha wageni wote waalikwa kwa ndege binafsi kuhudhuria sherehe ya
ndoa yao huko Italia. Jumamosi,
familia ya Kardashians ilimfanyia Kim K ‘bridal shower’ huko Baverly Hills,
California.. Hivi
karibuni kupitia twitter, Kim K alikanusha habari kuwa wameshafunga ndoa ya
kisheria na kwamba bado orodha ya wageni waalikwa haijawekwa wazi na
inayoonekana sio ya kweli. Alizikana pia picha za shela zinazooneshwa na
kuaminika kuwa ni shela atayoivaa.
Kim
Kardashian na Kanye West walikuwa katika uhusiano wa mapenzi tangu mwaka 2012
na walichumbiana
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ
Post a Comment