Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jumamosi iliyopita Lupita alikuwa miongoni mwa
A-list ya watu maarufu waliopata nafasi ya kutembelea Ikulu ya Marekani katika
‘White House Correspondents Dinner’.
Hiyo ilikuwa nafasi ya mshindi huyo wa
tuzo za Oscar kukutana na Rais Barack Obama na mke wake Michelle Obama na
kupiga picha, pia inasemekana Lupita na Obama walipata kukienzi Kiswahili
katika sehemu ndogo ya mazungumzo yao.
Post a Comment