0
Kwa mwonekano wa njee na ghafla ukimsikiliza na kumwona Ney wa Mitego utahisi ni mtu anayependa sana ugomvi kutokana na anavyofanya mziki wake kwa kuwachana wasani na viongozi bila yakuhofia kuhatarisha maisha yake  utahisi ni mbabe sana .

Kupitia kipindi cha XXL kwenye kipengele cha 255 na mwana dada Deendy  Ney wamitego amewataja wasanii wawili wabongo ambao anawakubali sana ni kama ma role model wake kwenye muziki akianza na Juma Nature A.K.A Kiroboto.
  Na Mr Blue A.K.A Byser Nakusema kuwa hata wakifanya show lazima anahudhuria na hawezi kuingia kama special yani bila kulipa kingilio kwakuwa yeye ni star lazima alipe ilikusapoti wanachokifanya .
Itakuaje ukikutana na Ney wa Mitego kwenye uchochoro akiwa anaimba mapozi na me wema mapozi name ama mgambo wanaruka nakukanyagana .
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE  HII JIUNGE NASI  KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ  INSTAGRAM JIMCARTERTZ

Post a Comment

 
Top