Mchekeshaji/Mwigizaji Joan Rivers amefariki dunia alhamisi jioni kwenye hospitali New York baada ya kulazwa kwa wiki moja.
Mtoto wake ametoa tamko kwa vyombo vya habari kuwa “mama yao amefariki akiwa amezungukwa na familia na marafiki zake’. joan-riversRivers amefariki akiwa na miaka 81 na amekuwa akisaidiwa kupumua na mashine.
Joan alifahamika kwa kazi tofauti kwenye maisha yake ikiwemo Fashion Police ya E Entertainment.
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ INSTAGRAM JIMCARTERTZ

Post a Comment