0

Baada ya taarifa za Amber Rose kudai talaka kwa mumewe Wiz Khalifa, mume wa Mariah Carey, Nick Cannon ambao nao ndoa  yao imevunjika,  amekanusha uvumi kuwa yeye ndio chanzo cha Amber kuomba talaka
Nick Cannon ambaye kwasasa ndie meneja mpya wa kazi za Amber Rose, amedai kuwa hakuna kitu chochote zaidi ya kazi kinachoendelea kati yao.


Vyanzo vimeiambia TMZ kuwa, Nick amekuja kufahamu kuwa Amber ana matatizo ya kifamilia kupitia mwanasheria wake wiki iliyopita baada ya kusaini nae mkataba kama mteja wake, na ndipo alipofahamu kuwa ndoa ya Amber ina matatizo.
JOIN US 

FACEBOOK/ JIMCARTERTZ

TWIETTER/ @JIMMCARTERTZ

Post a Comment

 
Top