Diamond plutnumz aliweka picha Kwenye ukurasa wake wa facebook ya Gari aina ya NISSAN nakuweka maneno amabayo yalikuwa yakiashiria kuwa nizawadi aliyompatia mpenzi wake Wema Sepetu Kwa siku yake maalumu yakuzaliwa Aliweka picha na maneno haya hapa chini.
"Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby "DIAMOND ALIANDIKA



Post a Comment