0
Mwanadada Rihana ameendelea ‘kumake’ Headlines na safari hii ameweza kuonyesha uwajibikaji wake baada ya kufanya tamasha la kwanza kwa mwaka huu lililolenga kusaidia kuchangisha fedha kwa ajili yakusaidia jamii.
Katika tukio hilo muhimu na la kwanza ambalo lilijulikana kwa jina la Diamond Ball limemeweza kufanya vyema usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Beverly Hills uliopo jiji la Carlifonia nchini Marekani huku likihudhuriwa na mastaa mbalimbali.
Akiwa amevalia gauni refu la hshima lililonakshiwa na mkufu wa silva wenye kito kinachofanana na rangi ya gauni sambamba na’makeup’ Onyesho hilo lililojulikana kama Diamond Ball lenye lengo kuinua mfuko wake wa Clara Lionel.
Baadhi ya mastaa wengine waliokuwepo usiku huo ni Kim Kardashian, Kris Jenner, Big Sean, Tyrese Gibson, Salma Hayek, Neyo, Fabolous, Kat Graham, Nikki Reed, Adrienne Bailon, Ellen Pompeo, Jimmy Kimmel na wengine wengi.


JIMMCARTER.COM WANAKUTAKIA HERI YA SIKUKU NA MAANDALIZI MEMA YA SIKUKU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA PIA TUNAKUKRIBISHA KUJIUNGA NASI HAPA CHINI 

Post a Comment

 
Top