Kwa mara nyingine Chris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran wameachana, lakini safari hii Chris mwenyewe ameamua kutoa taarifa hiyo akiwa jukwaani mbele ya mashabiki kwa kusema kuwa yupo single.
Breezy ametoa habari hiyo akiwa jukwaani kwenye show ya Cali Christmas ya Power 106 iliyofanyika Ijumaa Dec 5.
“How many single ladies we got in here tonight?” Aliuliza Chris kabla ya kuanza kutumbuiza wimbo wake “Loyal.” “Well, I’m single, too. F— that b—-” Chris Alimalizia.
Muda mfupi baada ya habari hiyo kusambaa Twitter, Karrueche naye Alitweet Hivii. “Niggas be in they feelings when you break up with them lol”.
Niggas be in they feelings when you break up with them lol
— Karrueche Tran (@karrueche) December 6, 2014
JIMMCARTER.COM WANAKUTAKIA HERI YA SIKUKU NA MAANDALIZI MEMA YA SIKUKU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA PIA TUNAKUKRIBISHA KUJIUNGA NASI HAPA CHINI




Post a Comment