Kutoka kwenye jarida la GQ Mpaka V Magazine, rapper Nicki Minaj amefanikiwa kuonekana juu ya kurasa za majarida makubwa duniani mwishoni mwa mwaka huu.
Sasa Minaj yupo kwenye kurasa ya mbele ya Jarida la Vogue Italia.
JIMMCARTER.COM WANAKUTAKIA HERI YA SIKUKU NA MAANDALIZI MEMA YA SIKUKU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA PIA TUNAKUKRIBISHA KUJIUNGA NASI HAPA CHINI






Post a Comment