Ikiwa ni siku 4 zimesalia kabla album ya Nicki Minaj iitwayo ‘The Pinkprint’ itoke, nyimbo mbili kutoka kwenye album hiyo zimevuja.
Moja ya nyimbo hizo ni collabo yake na Beyonce ‘Feeling Myself’, wimbo ambao wote wawili wamezungumzia mafanikio yao.
Wimbo mwingine uliovuja kutoka kwenye album hiyo ni ‘Get On Your Knees’ aliomshirikisha Ariana Grande.The Pinkprint inatarajiwa kutoka Dec.15.
JIMMCARTER.COM WANAKUTAKIA HERI YA SIKUKU NA MAANDALIZI MEMA YA SIKUKU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA PIA TUNAKUKRIBISHA KUJIUNGA NASI HAPA CHINI




Post a Comment