
Mtandao wa XXL umeripoti beef iliyoibuka weekend hii kati ya rappa YG na producer wake ambaye amemtoa kwa nyimbo kale DJ Mustard.
Decemba 29 Dj Mustard aliweka wazi kuwa hataki kuulizwa maswali kuhusu muziki na Album ya YG Kwani hajalipwa na wala hategemei kupata mapato yake kutoka kwenye kazi alizofanya naye.
Dj Mustard ndiye amesimamia utengenezwaji wa album ya YG ‘My Krazy Life’ Mustard aliandika instagram “Stop asking me about the YG sht!!! I don’t know about none of it on top of that I still ain’t got payed for his album! So I don’t gives a fck,” Mustard alifuta post baada ya muda mfupi.
Yg alijibu mashambulizi kwa matusi na kumtishia kuwa anajua studio yake ilipo na muda wowote anaweza kuibuka kumfanyia kitu chochote.

Post a Comment