Hata baada ya skendo za usaliti,Kylie Jenner bado anataka kuwa mke wa Tyga.
Mtandao wa udaku nchini Marekani umeipoti kuwa hata baada ya skendo za usaliti,Kylie Jenner bado anataka kuwa mke wa Tyga.
Hivi karibuni Kylie Jenner ameonekana kutokuwa na msimamo baada ya kutaka kuachana na Tyga na mara nyingine kumuonyesha mapenzi.
Tyga alihusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamitindo kutoka Brazil Annalu Cardosa.

Post a Comment