
X wa rapa T-Raw, Tygaman wengi Tunamfahamu kwa Tyga amefuta tattoo ya msanii Future aliyokuwa nayo kwenye mkono wake. Tattoo hio alichora wakati yuko karibu na Future wakifanya video ya Rich Sex.
Kwa sasa Blac Chyna anamahusiano ya kimapenzi na mdogo wake KimKardashian anayefahamika kama Rob Kardashian.
Stripper Blac Chyna ametumia utalamu wa laser technology kufuta tattoo hio .
TATTOO IMESHAONDOLEWA TAYARI


Post a Comment