0

Ujazo wa jina lake uliongezeka Tanzania na Afrika baada ya kutokea kwenye shindano la Big Brother Africa, baada ya hapo akarudi shule Afrika Kusini na sasa amerudi nyumbani Tanzania, kazi yake nyingine ni muziki kama utavyojionea kwenye hii video hapa chini, ukishaitazama achia na comment yako mtu wangu Feza Kessy akipita ajue watu wake wanasema nini.

Post a Comment

 
Top