Harmonize Kutoka WCB na mrembo Jacqueline Wolper kutoka Bongo Movie walipoanza mahusiano yao ilionekana kama kiki inatafutwa lakini siku zinavyozidi kusogea wanazidi kuonyesha mahaba niuuwe kuwa sio kiki ni kweli Harmonize Kutoka WCB na mrembo Jacqueline Wolper ni wapenzi.
Kupitia mtandao wa IG msanii Harmonize amepost picha ambayo inamuonesha Wolper akiwa Mtwara akimsaidia mama mkwe kuandaa mboga.
Time Ya Kumsaidia mama Harmo Kuanda Chakula Cha Usiku 😃😃 Mtwara Life @wolperstylish 😘😘😘 Ameandika Harmonize
Shemeji yetu naye alipost picha hii nakuandika hivii...
I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu... Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe... Mjipikilishe.. Akushauri
Hapa nimepata rafiki kwa kweli...
I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu





Post a Comment