0

Ngoma mpya Michael Jackson, “Love Never Felt So Good” imetoka wiki hii akiwa amemshrikisha Justin Timberlake! Ngoma hii inatoka kwenye album mpya ya MJ iitwayo “XSCAPE” itakayoingia sokoni May 13. XSCAPE itakuwa na nyimbo nane mpya kabisa zilizorekodiwa katikati ya mwaka 1983 na 1999.       
       
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE  HII JIUNGE NASI  KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM

Post a Comment

 
Top