Pale Unapoimba wimbo wa Sauti Sol ‘Money Lover’ na jaji ni msanii wa Sauti Sol,Angalia kilichotokea,/TecnooOwnTheStage 0 Entertainment, Live Events, Video 3:45 AM A+ A- Print Email Tecno own the stage inakupa episode ya 10, baada ya kutazama show ya Nandy akiimba nishike ya Souti Sol, sasa Rama 254 naye anaimba wimbo wa Souti Sol ‘Money Love’. Je jaji wa Tecno own the stage ambaye ni member wa Sauti Sol atasemaje.
Post a Comment