0

Timu ya taifa ya Ivory Coast imenyakua kombe la mataifa ya Afrika, AFCON 2015 kwa kuitandika timu ya Ghana kwa mikwaju ya penalti mjini Bata, Equatorial Guinea. Ivory Coast imeshinda kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1992.

Ghana walipata penalti 8 huku Ivory Coast wakishinda kwa penalti 9. Tazama picha 







Mlinda mlango nambari mbili wa Ivory Coast ndiye aliyeipa ushindi timu yake


Post a Comment

 
Top