0

Mashabiki wa Kanye West wameanzisha account ya GoFundMe kwaajili ya kuchangisha pesa za kulipa deni la Kanye la dola milioni $53.

Jeremy Platt, kutoka Minneapolis, Minnesota, ametengeneza kurasa ya “BE THE MEDICI FAMILY TO KANYE,” na kuomba watu watoe pesa kwaajili ya kulipa deni la Kanye West.

Mpaka sasa mfuko wa Kanye West una dola $700.

Hivi Karibuni Kanye West alisema anadaiwa dola milioni $53 ila baada ya uchunguzi imegundulika kuwa sio kuwa anadaiwa dola milioni $53 ila ni kuwa Kanye amewekeza pesa zake mwenyewe zaidi ya dola milioni 53 kwenye muziki na biashara zake za mavazi.

Post a Comment

 
Top