Akiongea na Enews Ya EATV Young Killer amesema kuwa, amejipanga kuhalalisha mahusiano yake na mwanadada Halima.
Kwa muda mrefu sasa Young killer na ‘girlfriend’ wake huyo wamekuwa wakitamba kwa mahaba motomoto katika mitandao ya kijamii wakionekana viwanja mbalimbali.
![]() |
HALIMA WA YOUNG KILLER A.K.A MISS HIP HOP |
Young Killer aliongeza kuwa pamoja na kuwa yeye na mpenzi wake wanaonekana kuwa na umri mdogo lakini kwao hawaoni kuwa ni kikwazo kwao kuishi pamoja.
Post a Comment