0
Msanii wa bongo fleva  Mr Blue leo 14/ 2016  April  amechukua attention za watu baada ya kupost picha katika mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa kafunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.
Mr Blue na Waheeda wamefunga ndoa blue amezaana mke wake watoto wawili mtoto wakwanzani wakiume na mdogo  wake niwa kike.








Post a Comment

 
Top