Tyga kaamua kumuweka hadharani mpenzi wake mpya anaekwenda kwa jina la “Demi Rose” mwenye umri wa miaka 21 ambae pia ni model wa Lingerie (Nguo za ndani) huko Uingereza. Mwanadada Demi Rose anavutia kiasi cha kumfanya Tyga akubali nakusema kua “anavitu adimu”.
Wawili hao walionekana wakiondoka hotelini kwao alhamisi na kuelekea Gotha Club ambayo ipo nchini Urafasa.
Inasemekana pia walishawahi kuonekana pamoja wiki moja baada ya Tyga kuachana na Kylie Jenner.
Post a Comment