Ni chini ya wiki 2 kufikia siku ambayo “2 Chain” Ataachia album yake ya 4 ambayo itachukua nafasi nyingine katika historia ya msanii huyu ambae anafanya vizuri sana katika game ya hip hop duniani kutokana style yake mpya na tofauti kabisa.

2 Chain ameachia “track list” ya “FreeBase” yenye nyimbo saba ambazo zitakua ndani ya Album hiyo ambayo hivi karibuni itakuwabtayari kwa masikio yenu kusikia midundo na michapo ya story ndani ya nyimbo hizo. Project hii yenye nyimbo 7 ambayo amewashirikisha TY Dolla $IGN, Rick Ross, A$AP Rocky, Lil Boose and Cap 1.
Project hii ambayo imeshirikishwa na kutengenezwa na Tity Boi’s na rafiki yake wa siku nyingi MIKE Will ambae ametengeneza track nyingi kwenye game hivi sasa ikiwemo “23″
JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM
Post a Comment