0

Pharrel William ni msanii ambae ana mafanikio makubwa na anaendelea kuitikisa dunia kwa kufanya vitu unique na kuwashangaza fans pamoja na wasanii wenzake.


 Baada ya mafanikio makubwa kupita kiasi ya Album “Happy” ambayo inaongoza duniani kupendwa na wakina dada, ukiachilia Adidas endorsement mara khee!!! “Pharrell Book is OUT” Pharell William ambae ni Rapper , Producer, Singer, Songwriter ambae amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa sana duniani kama Jay Z na Snoop Dogg na ambae ni msanii mwenye vipaji vingine kibao vya kuongezea.

Hivi karibuni Pharrell William ambae alizingua kitabu chake kipya ambacho aliavhia mistari kadhaa “online” mbayo baadhi ya maneno yamekosekana na kuahidi kuwa atakaepata maneno hayo atajipatia kitabu ambacho kitakuwa published na kuwa signed by yeye mwenyewe binafsi.

JIUNGE NASI  KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM

Post a Comment

 
Top