Quick Rocka ni miongoni mwa wasanii
wa Tanzania wanomiliki studio zao, lakini toka studio yake imefunguliwa alikuwa
bado hajaweka wazi producer atakayekuwa mpishi wa studio hiyo inayoitwa ‘Switch
Records’.
Quick amemtangaza rasmi Nahreel ndiye
producer wa Switch.‘It’s official now…He’s the producer
at SWITCH REC. @NahreelBeatz #2014#Switch#Midundo#MoneyTeam#Nahreel’ ameandika
Quick kupita Instagram. Nahreel ni producer
ambaye amefanya hits nyngi hadi sasa zikiwemo kazi nyingi za Weusi, single ya
Vanessa ‘Come Over’ na wimbo wa kundi lake Navy Kenzo ‘Chelewa’. Wasanii wengine
wanaomiliki studio zao ni pamoja na Professor Jay, Dullysykes, Bob Junior,
Mrisho Mpoto, Mb Dogg, Juma Nature Na AT
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM
Post a Comment