Baada ya JB, Joti na mastaa wengine wa Tanzania
kula mashavu ya matangazo ya mitandao ya simu, sasa ni zamu ya Wema Sepetu.
Mrembo huyo amekula shavu la kutangaza promotion mpya ya mtandao wa simu wa Airtel
Mrembo huyo amekula shavu la kutangaza promotion mpya ya mtandao wa simu wa Airtel
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM

Post a Comment