0

Justin Bieber ameshtakiwa kwa kushambulia mtu na kwa 
uendeshaji hatari baada ya kugonga gari akiwa anaendesha pikipiki yake ya matairi manne. 

Alikamatwa karibu na mji aliozaliwa wa Stratford, Ontario, baada 
ya kuanza kupigana na dereva wa gari aliloligonga. 
Polisi wa 
Ontario wamethibitisha kuwa waliitwa katika eneo la tukio 
kuchunguza na wamekamata mtu. 

Polisi baadaye walimuachilia huru katika kile kijulikanacho kama 
"ahadi ya kurudi tena" mahakamani Septemba 29. 

Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, uchunguzi "umeonesha kuwa 
baada ya ajali hiyo kutokea, dereva wa gari na wa pikipiki 
'walikunjana' mashati" Kama unakumbu kumbu nzuri justine bieber 
yuko chini wa uangalizi kwa miaka miwili  hatakiwi kushtakiwa kw kosa lolote tangu alipokuwa na 
kesi yakurusha mayai kwenye nyumba ya jirani 
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE  HII JIUNGE NASI  KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ  INSTAGRAM JIMCARTERTZ

Post a Comment

 
Top