![]() |
| Alusa-Kenya (kushoto), Butterphly-Zimbabwe (katikati), Ellah-Uganda (kulia) |
Majina ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa yameanza kutangazwa leo September 18, 2014 kama ilivyofahamika jana kuwa M-Net na Endemol SA watakuwa wakitangaza majina matatu kila siku mpaka kufika siku ya uzinduzi wa Hot Shots October 5, 2014
Majina yaliyotangazwa leo ni ya mwakilishi wa Kenya aitwaye Mr Melvin Alusa, mwakilishi wa Uganda aitwaye Ellah ambaye ni Miss Uganda, pamoja na mwakilishi wa Zimbabwe aitwaye Butterphly Phunk ambaye ni Dj wa kituo cha Power Fm
![]() |
| Mr Melvin Alusa (Kenya) |
![]() |
| Butterphly Phunk ni Dj wa Power Fm ya Zimbabwe |
![]() |
| Ellah Stella Nantumbwe ni Miss Uganda wa sasa KUMFAHAMU ALUSA ZAIDI INGIA HAPA KUMFAHAMU ZAIDI ELLA INGIA HAPA KUMFAHAMU BUTTERPHY ZAIDI INGIA HAPA FACEBOOK/ JIMCARTERTZTWIETTER/ @JIMMCARTERTZ |




Post a Comment