0
Tmz imeripoti kuwa wimbo uliomfanya Drake apigwe na Puff Daddy ni “0 to 100/ The Catch Up” ambao mpaka sasa umetajwa kuwania tuzo mbili za Grammy kama Best Rap Performance na Best Rap Song. 

Aligombana na Drake jumatatu asubuhi baada ya sherehe ya siku ya kuzaliwa na Dj Khaled nje ya club ya LIV huko Miami Beach na sababu ikiwa Diddy alihisi amekosewa heshima na Drake.

 Producer maarufu Boi-1da aliwapa Diddy na Drake wimbo huu ili warekodi miezi nane iliyopita ila Drake alikwenda kurekodi wimbo huu mwenyewe bila kumwambia Pdd kitu ambacho kilimkasirisha P.Diddy. 

Diddy alimuona Drake nje ya Club LIV nakuamua kuzungumza naye ndipo Drake alionyesha madharau, kabla hajampiga Pdd alimwambia “Hutokaa kunikosea heshima tena” “You’ll never disrespect me again” .
Sikiliza Wimbo Hapa
JIMMCARTER.COM WANAKUTAKIA HERI YA SIKUKU NA MAANDALIZI MEMA YA SIKUKU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA PIA TUNAKUKRIBISHA KUJIUNGA NASI HAPA CHINI 

Post a Comment

 
Top