0
Kuna habari nyingi zinaandikwa sasa hivi kuhusu uhusiano wa Diamond na mwimbaji Mnigeria Davido ambae weekend iliyopita wakati mshindi wa BBA 2014 alipotangazwa kuwa ni Mtanzania Idris aliandika tweet iliyoanzisha tatizo. 

Wengi walimuelewa kama kaidiss Tanzania kwa kumaanisha haikustahili kupata ushindi wa Channel O awards tatu alizoshinda Diamond na vilevile labda haikustahili ushindi wa BBA pia. 

Sasa kutokana na kinachoendelea sasa hivi rapper Chiddi Beenz ameamua kuyatoa yake ya moyoni kupitia page yake ya facebook leo kama inavyosomeka hapa chini baada ya Watanzania kuendelea kumtukana Davido kwenye mitandao yake ya kijamii na hata reaction ya Diamond mwenyewe baada ya kushinda tuzo nyingine Nigeria.
Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
 
JIMMCARTER.COM WANAKUTAKIA HERI YA SIKUKU NA MAANDALIZI MEMA YA SIKUKU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA PIA TUNAKUKRIBISHA KUJIUNGA NASI HAPA CHINI 

Post a Comment

 
Top