Weekend hii ilionekana imekuwa yakumfurahisha sana msanii wa nyimbo za Bongo Fleva hapa nchini, Nasib Abdu aka Diamond Platnumz 'Chibu Dangote' baada ya kuitwa kufanya show kwenye tuzo za #AMVCA2015 mjini Lagos nchini Nigeria.
Hii video imewavutia sana wengi ikimuonyesha akiwa kwenye hisia za kucheza na kuimba nyimbo hii ya Kihindi 'Dil chura liya' wengine wamejiuliza labda ni kwasababu mpenzi wa ke Zari Hassan 'Zari the BossLady' amejitangaza kuwa damu yake imechanganyika na ya Wahindi kutoka kwa uchotara wa mama yake.
Credit To :: TubongeTz

Post a Comment