Baada tu ya kutia wimbo kwenye mkataba wa dola milioni moja na kampuni ya usambazaji wa muziki ya Sony BMG, Davido ameingia booth na rapa TI Yes ni yule T.I kutoka ATL na boss wa lebel ya HKN Davido. Kwenye wimbo huu yupo pia msanii wa Davido ‘Sina Rambo’ .
Hii sio mara ya kwanza T.I anafanya collabo na wasanii wa Nigeria, mwka 2014, TI alifanya wimbo na P-Square ‘Ejeaj’. Davido na TI walikutana London kwenye show waliofanya pamoja.
Just made something crazy for @Tip nd @SINARAMBO— Davido (@iam_Davido) February 9, 2016



Post a Comment