Baada ya Ommy Dimpoz Kumuonyesha demu wake laivu kwenye mtandao wa Instagram kupangua dongo alilopigwa na Nay wa mitego kuwa yeye ni Shoga, Nay wa Mitego amerudi tena na kuandika haya hapa:
Pale unaposikia kuna Mmoja Kashika #ShikaAdabuYake Kamuonyesha Demu ila mmmmh Nina Mashaka ivi kweli Demu wake yuleee😄😄?! Weeee #ShikaAdabuYako Link kwenye Bio apo Juu Kuidownload.!!
Pale unaposikia kuna Mmoja Kashika #ShikaAdabuYake Kamuonyesha Demu ila mmmmh Nina Mashaka ivi kweli Demu wake yuleee😄😄?! Weeee #ShikaAdabuYako Link kwenye Bio apo Juu Kuidownload.!!
"naytrueboyPale unaposikia eti kuna wasiopenda kuambiwa Ukweli wamezusha Eti Wimbo wa #ShikaAdabuYako Basata wamefungia😄😄😄😄😄.
Guys Wimbo haujafungiwa na Basata awajafungia Wimbo ila wale wenye Team zao kwenye mitandao wamechanwa kwenye #ShikaAdabuYako ndio wameufungia kwenye Masikio Yao sababu ya hawataki kusikia fact wame publish habari za kufungiwa.
Ata ingekua kweli umefungiwa wamechelewa sanaaa coz mpaka Panya wanajua tayari #TrueBoy keshakiwashaaaaa😄😄😄😄😄. Weeee #ShikaAdabuYako Link kwenye my Bio apo juu.!"Ameandika Nay Wa mitego

Post a Comment